New Video: Stella Mwangi – Ready To Pop [Official Music Video]
Rapper wa Kenya mwenye makazi yake nchini Norway, Stella Mwangi ameachia single ya mpya, Ready to Pop, ya kwanza chini ya label yake mpya, Badili Akili Music. Chini ni maelezo zaidi kuhusu wimbo huo:...
View ArticleNew Video: Diamond Platnumz ft Rick Ross – Waka (Official Video)
Staa wa Bongo Flevam Diamond Platnumz ameachia video mpya ya collabo yake na rapper mkongwe wa Marekani, Rick Ross ‘Waka’ Audio imefanywa na Laizer wa Wasafi Studio huku video ikiwa imefanyika Miami,...
View ArticleNew Video: Mwana FA Featuring Maua Sama – Hata Sielewi (Official Music Video)
Mwana FA ameachia video na Audio ya wimbo mpya ‘Hata Sielewi’ aliomshirikisha Maua Sama. Video imefanywa na Studio Space Pictures ya Afrika Kusini.
View ArticleCristiano Ronaldo amfunika tena Messi kwenye tuzo ya Ballon D’or
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka wa pili mfululizo usiku wa kuamkia leo. Ronaldo amemshinda mpinzani wake wa karibu Lionel Messi,...
View ArticleMan United yachezea 2-1 kwa Man City
Manchester City imeendeleza ubabe wake kwenye ligi kuu soka ya England baada ya kumchapa hasimu wake wa jiji moja Manchester United 2-1. Katika mchezo huo ambao City ilimiliki mpira wakati mwingi,...
View ArticleWaka ya Diamond yashiKa namba 1 Tanzania, Kenya na Uganda kwenye mtandao wa...
Wimbo mpya wa Diamond Platnumz aliomshirikisha rapper mkongwe wa Marekani, Rick Ross ‘Waka’ umeshika namba moja kwenye mtandao wa Youtube kwenye nchi tatu tofauti, Tanzania, Kenya na Uganda. Diamond...
View ArticleEminem: Huwa narekodi ngoma zaidi ya 50 ili nipate ngoma 20 bora kwa ajili ya...
Kwenye mahojiano na jarida la Interview nchini Marekani, staa wa HipHop mwenye ngozi nyeupe na ushawishi mkubwa Duniani Eminem amesema huwa ana rekodi takriban nyimbo 50 akiwa anatengeneza albam yake...
View ArticleOscar Pistorius apata majeraha baada kupigana gerezani
Mwanariadha wa zamani wa Afrika Kusini Oscar Pistorius ameumizwa mkono wake wakati akipigana gerezani wiki chache baada ya kesi ya kumuua aliyekuwa mchumba wake Reeva Steenkamp kusikilizwa tena....
View ArticleNew Video: Jennifer Hudson – Burden Down [Official Music Video]
Msanii kutoka nchini Marekani, Jennifer Hudson ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Burden Down’. Itazame hapa
View ArticleNew Video: Rayvanny – Makulusa ft Maphorisa x Dj Buckz (Official Music Video)
Kutoka WCB Wasafi, Rayvanny amekuletea kazi yake mpya ‘Makulusa’ aliowashirikisha mastaa wa muziki wa Afrika Kusini Dj Maphorisa na Dj Bucks. Audio imetengenezwa na Master Craft wa Nigeria na Dj...
View ArticleVanessa Mdee asaini mkataba mnono na Universal Music Group, kusimamia...
Staa wa muziki wa Bongo, Vanessa Mdee amekula shavu nono la kusaini na label kubwa ya muziki duniani, Universal Music Group, mwenyewe amesema ni mkataba mnono. Vee Money amesema hilo baada ya...
View ArticleVanessa Mdee aachia cover ya album yake mpya ‘Money Mondays’
Hatimaye Vanessa Mdee ameachia kava la albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Money Mondays’ ambayo bado haijatoka. Vee Money ameonyesha kava hilo kupitia mtandao wake wa Instagram na kuthibitisha hiyo...
View ArticleARSENAL NA MAN CITY ZATINGA NUSU FAINALI CARABAO CUP
Usiku wa Jana Mashindano ya Kombe la EFL Cup maarufu Kama Carabao Cup yaliendela kwa Michezo miwili ya Robo fainali kupigwa. Arsenal na Man City zikikata tiketi za kutinga nusu Fainali. Leicester City...
View ArticleOrodha ya wacheza wenye thamani ya juu zaidi duniani
Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ameorodheshwa kuwa wa tatu miongoni mwa wachezaji wa thamani ya juu zaidi duniani, kwa mujibu wa utafiti mpya. Utafiti huo wa shirika la takwimu za michezo la CIES...
View ArticleChid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya, Jeshi la Polisi Dodoma wathibitisha
Rapa Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ anashikiliwa tena na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili. Picha...
View ArticleRatiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal...
Ratiba ya kombe la FA katika hatua ya raundi ya nne imetoka baada ya kufanikiwa kuiona Arsenal ikitupwa nje ya michuano hiyo katika raundi ya tatu na timu kutoka daraja la kwanza, Nottingham Forest kwa...
View Article